news
- Home
- news
MAFUNZO MAALUM
MAFUNZO MAALUM KWA WAFANYAKAZI Kampuni ya Mati Super Brands Ltd imewezesha mafunzo maalumu kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo yenye lengo la kuwaelimisha juu ya mbinu mbalimbali za kukabiliana na majanga ya moto, mafunzo yametolewa na Maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Manyara. Programu hiyo imeendeshwa katika makao makuu ya kampuni Mati Super Brands …
Continue reading MAFUNZO MAALUM
MEI MOSI 2023
MEI MOSI 2023 MATI SUPER BRANDS, ILIVYO SIMAMISHA MJI WA BABATI!! Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi, kampuni ya Mati Super Brands Ltd. imeshiriki sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) na kutwaa Makombe yote Matatu yaliyotolewa kwa washindi wa idara mbalimbali siku hiyo. Mati Super Brands Ltd yenye makao makuu yake mkoani Manyara ni kampuni …
Continue reading MEI MOSI 2023
MIAKA MITANO YA MATI SUPER BRANDS LTD
Miaka Mitano Ya Mati Super Brands Ltd. "December to Remember" Kampuni ya Mati Super Brands Ltd inayojihusisha na utengenezaji wa pombe kali aina ya Strong Dry Gin, Sed Pinneapple Flavoured Gin, Strong Coffee na Tanzanite Premium Vodka, Mwezi wa 12 mwaka 2022, imesherekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika mfuluzizo wa matukio ya sherehe …
Continue reading MIAKA MITANO YA MATI SUPER BRANDS LTD
MATI DIVINE DAY
Uzinduzi wa Jengo Jipya la MATI na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka Uzinduzi wa Jengo la Utawala la MATI SUPER BRANDS LTD HQ Babati-Manyara, pamoja na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka. Uzinduzi huo ulifanywa na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara MH. Exaud Silaoneka Kigahe, pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali, TCCIA na …
Continue reading MATI DIVINE DAY
Mkurugenzi Mkuu Apokea Zawadi
Leo tarehe 26/12/2018, Mkurugenzi Mkuu wa Mati Super Brands Limited amekutana na Mkurugenzi wa BAWASA Eng Msuya, na Kumpatia Zawadi Mkurugenzi wa BAWASA akiwa ni miongoni mwa Familia zilizo karibu na Kampuni Yetu…
Police Certificate of Recognition
Mati Super Brands Limited imepokea Certificate of Recognition kutoka Jeshi la Police Tanzania Mkoa wa Manyara, Pichani ni aliekua Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Alexander Pastory Mnyeti na Mkurugenzi wa Mati, Bw. David Mulokozi…