0 Comments May 23, 2023

MEI MOSI 2023

MEI MOSI 2023

MATI SUPER BRANDS, ILIVYO SIMAMISHA MJI WA BABATI!!

Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi, kampuni ya Mati Super Brands Ltd. imeshiriki sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) na kutwaa Makombe yote Matatu yaliyotolewa kwa washindi wa idara mbalimbali siku hiyo.

Mati Super Brands Ltd yenye makao makuu yake mkoani Manyara ni kampuni inayozalisha vinywaji changamshi ikiwemo Strong Dry Gin, Sed Pineapple Flavoured Gin, Strong Cofee, Tanzanite Premium Vodka na Tai Original.