divine day
0 Comments May 16, 2022

MATI DIVINE DAY

Uzinduzi wa Jengo Jipya la MATI na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka

Uzinduzi wa Jengo la Utawala la MATI SUPER BRANDS LTD HQ Babati-Manyara, pamoja na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka. Uzinduzi huo ulifanywa na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara MH. Exaud Silaoneka Kigahe, pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali, TCCIA na Vyuo.