MATI DIVINE DAY

Uzinduzi wa Jengo Jipya la MATI na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka Uzinduzi wa Jengo la Utawala la MATI SUPER BRANDS LTD HQ Babati-Manyara, pamoja na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka. Uzinduzi huo ulifanywa na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara MH. Exaud Silaoneka Kigahe, pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali, TCCIA na …
Continue reading MATI DIVINE DAY

Mkurugenzi Mkuu Apokea Zawadi

Leo Mkuruguzi Mkuu wa Mati Super Brands Company Limited amekutana na Eng Msuya wa BAWASA Kiwandani na Kupokea Zawadi kama Kiwanda bora Mkoani Manyara…

Police Certificate of Recognition

Mati Super Brands Limited imepokea Certificate of Recognition kutoka Jeshi la Police Tanzania Mkoa wa Manyara..

New Look for Sed Cane and Strong Gin

Sasa Kampany Ya Mati Super Brands Limited inakuletea Packaging mpya katika Bidhaa zake zote (Sed Cane na Store Gin)…