IMG_4053
0 Comments February 2, 2023

MIAKA MITANO YA MATI SUPER BRANDS LTD

Miaka Mitano Ya Mati Super Brands Ltd. "December to Remember"

Kampuni ya Mati Super Brands Ltd inayojihusisha na utengenezaji wa pombe kali aina ya Strong Dry Gin, Sed Pinneapple Flavoured Gin, Strong Coffee na Tanzanite Premium Vodka, Mwezi wa 12 mwaka 2022, imesherekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika mfuluzizo wa matukio ya sherehe hizo, kampuni ilifanya bonanza ya team building, kutoa misaada kwa makundi mbalimbali yenye uhitaji pamoja na sherehe ya maadhimisho ya miaka mitano iliyoambatana na kuupokea mwaka 2023.